Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Yoane 18:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

6 Yesu alipowaambia: “Ni mimi,” wakarudi nyuma na kuanguka.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Yoane 18:6
9 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Wafezeheke na kurudishwa nyuma, wote wale wanaouchukia Sayuni.


Waovu wakinishambulia, na kutaka kuniangamiza, hao wapinzani wangu watajikwaa na kuanguka.


Upendezwe, ee Yawe, kuniokoa; ee Yawe, ukuje haraka kunisaidia.


Wakamujibu: “Yesu wa Nazareti.” Yesu akawaambia: “Ni mimi.” Na Yuda, yule aliyekuwa amemutoa, alikuwa akisimama pale pamoja nao.


Yesu akawauliza tena: “Munamutafuta nani?” Nao wakasema: “Yesu wa Nazareti.”


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ