29 Basi wanafunzi wake wakamwambia: “Sasa unasema waziwazi pasipo kutumia mifano.
Yesu aliwaambia makundi ya watu maneno hayo yote akitumia mifano. Yeye hakusema nao pasipo kutumia mifano.
Yeye aliwaambia maneno hayo waziwazi. Basi Petro akamwita Yesu pembeni na kuanza kumukaripia.
Yesu aliwaambia mufano huu, lakini hawakuelewa maneno aliyosema.
“Nimewaambia ninyi maneno hayo kwa mifano. Lakini kutakuwa wakati sitasema nanyi tena kwa mifano, lakini nitawaambia ninyi waziwazi juu ya Baba.