Yoane 12:42 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200242 Hata hivi wengi kati ya wakubwa wa Wayuda wakamwamini Yesu. Lakini kwa sababu ya Wafarisayo, hawakushuhudia kwamba wameamini. Waliogopa kwamba watatengwa wasiingie katika nyumba ya kuabudia. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |