Yoane 12:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 Halafu Maria akatwaa nusu ya litre ya marasi ya bei kali, yaliyotengenezwa na maua ya nardo safi. Akaipakaa kwa miguu ya Yesu na kuipanguza na nywele zake. Nyumba yote ikajaa harufu ya marasi. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |