2 Kwa mwanzo Neno alikuwa pamoja na Mungu.
Hapo mwanzo, Mungu aliumba mbingu na dunia.
Nilikuwa pamoja naye kama fundi wa kazi, nilikuwa furaha yake kila siku, nikishangilia mbele yake siku zote,
Lakini ninaposema “Sitamutaja tena Yawe, wala sitasema tena kwa jina lake”, ndani yangu kunawaka kitu kama moto uliofungiwa ndani ya mifupa yangu. Ninajaribu sana kuuzuia humo, lakini ninashindwa.
Kwa mwanzo, Neno alikuwa yuko, naye Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, wala hakuna hata kitu kimoja kilichoumbwa pasipo yeye.