Yeremia 48:39 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200239 Angalia jinsi alivyovunjika! Angalia jinsi wanavyoomboleza! Ni ajabu jinsi Moabu alivyorudi nyuma juu ya haya! Moabu amekuwa kitu cha kuchekesha na kitisho kwa jirani zake wote. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |