Yeremia 10:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Sanamu zao ni kama sanamu za kutishia ndege katika shamba la maboga, hazina uwezo wa kuongea; ni lazima zibebwe maana haziwezi kutembea. Musiziogope sanamu hizo, maana haziwezi kuzuru, wala haziwezi kutenda jambo lolote jema. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |