Walawi 9:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Musa akamwambia Haruni: Twaa mwana-ngombe dume kwa ajili ya sadaka ya kuondoa zambi na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa, nyama wote wasikuwe na kilema. Kisha uwatoe sadaka mbele ya Yawe. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |