Walawi 9:18 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200218 Halafu Haruni akamuchinja vilevile ngombe dume na yule kondoo dume wa sadaka za amani kwa ajili ya watu. Wana wake wakamuletea damu ambayo aliinyunyizia mazabahu pande zote. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |