Walawi 9:15 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200215 Kisha, Haruni akaleta mbele sadaka ya watu. Akatwaa mbuzi wa sadaka ya watu kwa ajili ya zambi, akamuchinja na kumutoa sadaka kwa ajili ya zambi, kama vile alivyofanya kwa yule wa kwanza. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |