Walawi 8:28 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200228 Kisha Musa akatwaa vitu hivyo vyote kutoka mikono yao na kuviteketeza juu mazabahu pamoja na sadaka ya kuteketezwa. Hii ni sadaka ya utakaso, yenye harufu ya kumupendeza Yawe, ni sadaka inayotolewa kwa moto. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |