16 Kisha, akatwaa mafuta yote yaliyokuwa kwenye matumbotumbo yake, sehemu bora ya maini pamoja na figo zote mbili na mafuta yake na kuviteketeza juu ya mazabahu.
Imekatazwa kuikula ikiwa mbichi au imetokoteshwa kwa maji, lakini inapaswa kuchomwa yote, pamoja na kichwa, miguu na nyama zake za ndani.
Halafu utatwaa mafuta yote yanayofunika matumbotumbo, sehemu bora ya maini pamoja na figo mbili na mafuta yake, uviteketeze vyote juu ya mazabahu.