Walawi 8:15 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200215 Musa akamuchinja huyo ngombe, akatwaa damu akapakaa pembe za mazabahu pande zote kwa kidole chake kwa kuitakasa. Kisha akatwaa damu iliyobaki akaimwanga chini kwenye tako la mazabahu ambayo alitakasa kwa kuifanyia ibada ya upatanisho. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |