Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Walawi 7:37 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

37 Basi, hii ndiyo sheria kuelekea sadaka ya kuteketezwa, sadaka ya vyakula, sadaka kwa ajili ya zambi, sadaka kwa ajili ya kosa, kuelekea kutakaswa na kuelekea sadaka ya amani.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Walawi 7:37
11 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Haya ndiyo mambo utakayowafanyia Haruni na wana wake kwa kuwatakasa wapate kunitumikia kama vile makuhani. Utatwaa mwana-ngombe dume na kondoo dume wawili wasiokuwa na kilema,


Kisha utatwaa mafuta ya yule kondoo dume: mukia wake, mafuta yanayofunika matumbotumbo na sehemu bora ya maini, figo zake mbili na mafuta yake, pamoja na paja la kuume. (Kondoo yule ni kondoo wa utakaso.)


Yawe akamwita Musa na kuongea naye katika hema la mukutano, akamwambia:


Lakini kama hawezi kutoa mwana-kondoo wa sadaka ya kosa kwa ajili ya zambi aliyotenda, basi atamuletea Yawe hua wawili au vitoto viwili vya njiwa, mumoja kwa ajili ya sadaka ya zambi na mwingine kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa kwa moto.


Chochote kitakachogusa nyama hiyo kitakuwa kitakatifu. Nguo yoyote ikidondokewa na damu ya sadaka hiyo, basi, nguo hiyo itafuliwa katika Pahali Patakatifu.


Kisha akaleta kondoo dume mwingine, kwa ajili ya utakaso. Haruni na wana wake wakaweka mikono yao juu ya kichwa cha kondoo huyo.


Musa akamuchinja. Akatwaa damu ya kondoo huyo na kumupakaa Haruni kwenye incha ya sikio lake la kuume, kidole gumba cha mukono wake wa kuume na cha muguu wake wa kuume.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ