Walawi 7:33 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200233 Muguu huo utakuwa mali ya kuhani anayekuwa muzao wa Haruni anayetolea damu ya sadaka za amani na mafuta yake. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Yule mupishi akaenda akaleta paja na sehemu ya nyama iliyokuwa upande wa juu wa paja hilo na kuviweka mbele ya Saulo. Halafu Samweli akamwambia Saulo: “Angalia kile ulichowekewa; sasa kimewekwa mbele yako. Sasa ukule kwa sababu kimewekwa kwa ajili yako kusudi upate kula pamoja na wageni.” Hivyo, Saulo akakula pamoja na Samweli siku hiyo.