Walawi 7:32 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200232 Muguu wa kuume wa nyuma wa nyama wa sadaka zenu za amani mutamupa kuhani. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Lakini kilali ambacho wanafanya nacho kitambulisho cha kumutolea Yawe na muguu unaotolewa sadaka kama vile kitambulisho, munaweza kuvikulia pahali popote pasipo kuwa pachafu. Utakula wewe na watoto wako wanaume na wanawake. Vitu hivyo umepewa kama haki yako na ya wazao wako kutoka sadaka za amani za watu wa Israeli.
Yule mupishi akaenda akaleta paja na sehemu ya nyama iliyokuwa upande wa juu wa paja hilo na kuviweka mbele ya Saulo. Halafu Samweli akamwambia Saulo: “Angalia kile ulichowekewa; sasa kimewekwa mbele yako. Sasa ukule kwa sababu kimewekwa kwa ajili yako kusudi upate kula pamoja na wageni.” Hivyo, Saulo akakula pamoja na Samweli siku hiyo.