Walawi 7:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
14 Kutokana na maandazi hayo, atamutolea Yawe andazi moja kutoka kila sadaka. Maandazi hayo yatakuwa ya kuhani anayenyunyizia mazabahu damu ya sadaka za amani.
Ninakupa wewe, wana wako na wabinti zako, vitu vyote ambavyo watu wa Israeli wananitolea; hivyo ni haki yenu siku zote. Hili ni agano la milele mbele yangu ambalo ni kwa ajili yako na wazao wako.