Walawi 6:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Umupatie Haruni na wana wake maagizo haya: hii ndiyo sheria ya ibada juu ya sadaka ya kuteketezwa kwa moto. Sadaka ya kuteketezwa itakuwa kwenye moto juu ya mazabahu usiku kucha mpaka asubui na moto wake uchochewe, usizimike. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |