24 au kitu chochote alichoapa kwa uongo. Atalipa kila kitu kikamilifu na kuongeza sehemu moja ya tano ya bei yake. Mara tu atakapojua kosa lake atamurudishia mwenyeji.