Walawi 4:30 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200230 Kuhani atachovya kidole chake katika damu ya sadaka ya kuondoa zambi na kuipakaa kwenye pembe za mazabahu ya kuteketezea sadaka. Damu iliyobaki ataimwanga chini kwenye tako la mazabahu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |