Walawi 4:25 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200225 Kuhani atachovya kidole chake katika damu ya sadaka kwa ajili ya zambi na kuipakaa kwenye pembe za mazabahu ya kuteketezea sadaka. Damu inayobaki ataimwanga chini kwenye tako la mazabahu ya kuteketezea sadaka. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |