10 Hizi ni sehemu zilezile zinazoondolewa kwa nyama wa sadaka ya amani. Kuhani ataziteketeza juu ya mazabahu ya kuteketezea sadaka.
Mafuta yote yanayofunika na yanayokuwa juu ya matumbotumbo ya nyama wa sadaka hiyo ya amani atayateketeza kama sadaka Yawe anayotolewa kwa moto.
Lakini ngozi ya huyo ngombe, nyama, kichwa, miguu, matumbotumbo na mavi yake,
figo mbili na mafuta yanayokuwa juu yake na yale yanayokuwa kwenye kiuno na yale yanayoshikamana na figo na maini.