10 zile figo mbili na mafuta yake pamoja na sehemu bora ya maini.
Halafu utatwaa mafuta yote yanayofunika matumbotumbo, sehemu bora ya maini pamoja na figo mbili na mafuta yake, uviteketeze vyote juu ya mazabahu.
na zile figo mbili na mafuta yake pamoja na sehemu bora ya maini.
Atatoa vilevile zile figo mbili na mafuta yake pamoja na ile sehemu bora ya maini.