Walawi 27:28 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200228 Lakini kitu chochote kilichotakaswa kwa Yawe, kama ni mutu au nyama au kitu kilichopatikana kwa urizi, hakitauzishwa wala kukombolewa. Chochote kilichotakaswa kwa Yawe ni kitakatifu kabisa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |