1 Yawe akamwambia Musa:
Utawaamuru Waisraeli wakuletee mafuta safi kwa ajili ya taa, kuwe taa inayowaka siku zote.
Musa akawatangazia Waisraeli sikukuu za Yawe zilizopangwa.
Uwaamuru watu wa Israeli wakuletee mafuta safi kwa ajili ya taa kusudi taa hiyo iendelee kuwaka siku zote.
Eleazari mwana wa kuhani Haruni atatunza mafuta ya taa, ubani wa kufukiza, sadaka za vyakula za kila siku, mafuta ya kupakaa kwa kutakasa na kila kitu kilichotakaswa katika hema hilo.
Umwambie Haruni kwamba wakati atakapoweka zile taa saba kwenye kinara, azipange kusudi ziangaze upande wa mbele wa kinara hicho.