Walawi 23:18 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200218 Pamoja na hayo, mutatoa wana-kondoo saba wa mwaka mumoja, mwana-ngombe dume mumoja, na kondoo dume wawili. Nyama hao watakuwa sadaka ya kuteketezwa pamoja na sadaka ya vyakula na sadaka za kinywaji. Harufu ya sadaka hizi itanipendeza mimi Yawe. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |