Walawi 23:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200214 Mbele ya siku hiyo ya kuniletea mimi Mungu wenu sadaka hiyo, hamuruhusiwi kula mazao ya kwanza ya mavuno yenu, yakuwe mabichi, yamekaangwa au yemepikwa kuwa mikate. Hili ni sharti la kufuata siku zote katika vizazi vyenu pahali popote mutakapoishi. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |