7 Jua litakapotua ndipo atakapokuwa safi. Nyuma ya pale ataweza kula vyakula vitakatifu maana hicho ndicho chakula chake.
Mutu huyo anaweza kula mukate wa Mungu wake, vitu vitakatifu na vile vitakatifu kabisa.
mutu huyu, atakuwa muchafu mpaka magaribi na haruhusiwi kula vyakula vitakatifu mpaka pale atakapokuwa ameoga.
Kati ya vitu vitakatifu kabisa ambavyo haviteketezwi kwa moto, hivi vitakuwa vyenu: sadaka za vyakula, sadaka kwa ajili ya zambi na sadaka za kosa. Kila kitu watu watakachonitolea kama vile sadaka takatifu kitakuwa chako na wana wako.
basi sina haki ya kupokea chakula na kinywaji kwa ajili ya kazi yangu?