30 Nyama huyo ni lazima akuliwe siku hiyohiyo. Musiache kitu mpaka kesho yake asubui. Mimi ni Yawe.
Kama sehemu ya nyama yake ikikuliwa siku ya tatu, tendo hilo ni chukizo na sadaka hiyo haitakubaliwa.
Utakaponitolea mimi Yawe sadaka ya shukrani utaitoa kwa namna ambayo itakufanya ukubaliwe.
Kwa hiyo mutashika na kutimiza amri zangu. Mimi ni Yawe.