Walawi 22:27 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200227 Ngombe dume, kondoo dume au beberu akizaliwa atabaki na mama yake kwa siku saba. Lakini tangu siku ya nane anaweza kutolewa kwa Yawe kama sadaka ya kuteketezwa kwa moto. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |