Walawi 21:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20026 Watakuwa watakatifu kwa Mungu wao wala wasichafue jina la Mungu wao. Maana wao ndio wanaotolea zile sadaka Yawe anazopewa kwa moto, ni kusema chakula cha Mungu. Basi, wanapaswa kuwa watakatifu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |