4 Yeye, akiwa mwenye madaraka katika jamaa yake, asijichafue.
au dada yake ambaye (aliyekuwa wa jamaa yake ya karibu), naye hajaolewa bado.
Wazao wa Haruni wasijinyoe upaa kwa kuomboleza wala wasikate pembe za ndevu zao wala kujichanja chanjo juu ya mwili.