3 au dada yake ambaye (aliyekuwa wa jamaa yake ya karibu), naye hajaolewa bado.
isipokuwa kama ni maiti ya ndugu yake wa karibu, ni kusema mama yake, baba yake, mwana wake, binti yake, ndugu yake
Yeye, akiwa mwenye madaraka katika jamaa yake, asijichafue.
Kama binti ya kuhani ameolewa na mutu asiyekuwa kuhani, haruhusiwi kula sadaka ya vitu vitakatifu.