Walawi 2:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20029 Kuhani atatwaa sehemu ya sadaka hiyo ikiwa ni sadaka ya ukumbusho na kuiteketeza juu ya mazabahu. Hiyo ni sadaka ya kuteketezwa kwa moto yenye harufu nzuri ya kumupendeza Yawe. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |