Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Walawi 2:13 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

13 Utakoleza sadaka zako zote za ngano kwa chumvi. Usiache hata kidogo kuweka chumvi katika sadaka yako ya ngano, maana chumvi ni kitambulisho cha agano Mungu alilofanya pamoja nanyi.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Walawi 2:13
8 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Hamujui kwamba Yawe, Mungu wa Israeli, amemupa Daudi na wazao wake ufalme kwa milele kwa kufanya naye agano lisilovunjika?


feza kiasi anachotaka mpaka kufikia kilo elfu tatu mia ine, ngano kilo elfu kumi, divai litre elfu mbili, mafuta litre elfu mbili, na chumvi kiasi chochote atakachohitaji.


Utatumia vitu hivyo kwa kutengeneza ubani kama vile unavyotengenezwa na fundi wa manukato, utiwe chumvi upate kuwa safi na mutakatifu.


kuwaleta mbele yangu. Makuhani watawapakaa chumvi na kuwatoa kuwa sadaka ya kuteketezwa kwa Yawe.


Ninakupa wewe, wana wako na wabinti zako, vitu vyote ambavyo watu wa Israeli wananitolea; hivyo ni haki yenu siku zote. Hili ni agano la milele mbele yangu ambalo ni kwa ajili yako na wazao wako.


“Ninyi ni kama chumvi kwa watu wote. Lakini kama chumvi ikipoteza onjo lake, itatiwa nini ipate tena kukolea? Haifai tena hata kidogo, inabakilia kutupwa na kukanyagwa na watu.


Masemi yenu yanapaswa kuwa mazuri siku zote na yenye kufaa, munapaswa kujua kujibia kila mutu vizuri.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ