Walawi 2:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200211 Sadaka yoyote ya ngano utakayomuletea Yawe inapaswa kuwa imetengenezwa bila chachu, maana hakuna ruhusa hata kidogo ya kutumia chachu wala asali katika sadaka Yawe anazotolewa kwa moto. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |