Walawi 17:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200214 Maana, uzima wa kila kiumbe uko katika damu. Ndiyo maana nimewaagiza Waisraeli, wasikule damu ya kiumbe chochote maana uzima wa kiumbe chochote ni damu yake. Yeyote atakayekula damu atatengwa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |