Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Walawi 16:32 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

32 Kuhani aliyepakwa mafuta na kutakaswa ashike nafasi ya baba yake, ndiye atakayefanya ibada ya upatanisho akiwa amevaa nguo takatifu ya kitani.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Walawi 16:32
8 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Utawafunga mikaba katika viuno na kuwavalisha kofia zao. Hivi ndivyo utakavyowatakasa Haruni na wana wake kuwa makuhani. Hao watakuwa makuhani siku zote kwa ajili ya sharti la siku zote.


Atafanya ibada ya upatanisho kwa ajili ya Pahali Patakatifu Sana, kwa ajili ya hema la mukutano, mazabahu, makuhani, na kwa ajili ya jamii nzima ya Israeli.


Ataoga mwili wote katika maji, kisha atavaa nguo takatifu. Ataingia pahali pale akiwa amevaa nguo takatifu: koti la kitani na atavaa kapitula ya kitani na akiwa amevaa kanzu ya kitani na kujifunga mukaba wa kitani.


Yule kuhani aliyechaguliwa kwa kupakwa mafuta ataleta sehemu ya damu ya huyo ngombe dume ndani ya hema la mukutano.


Ikiwa kuhani ambaye amepakwa mafuta ndiye aliyetenda zambi hata akawatia watu katika kosa, basi huyo atamutolea Yawe ngombe dume muchanga asiyekuwa na kilema akuwe sadaka kwa ajili ya zambi.


Huyo kuhani aliyepakwa mafuta atatwaa sehemu ya damu na kuingia nayo ndani ya hema la mukutano.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ