Walawi 16:27 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200227 Yule ngombe dume na mbuzi waliotolewa sadaka kwa ajili ya zambi ambao damu yao ilipelekwa katika Pahali Patakatifu kwa kufanya ibada ya upatanisho, watapelekwa inje ya kambi na kuteketezwa kwa moto. Ngozi zao, nyama na mavi yao, vyote vitateketezwa kwa moto. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |