Walawi 16:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Akamwambia: Umwambie ndugu yako Haruni asiingie katika Pahali Patakatifu nyuma ya pazia wakati usiokubaliwa. Asiingie pahali pale maana ndipo nitakapotokea katika wingu juu ya kiti cha rehema. Asipotii, atakufa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |