Walawi 16:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200214 Atatwaa sehemu ya damu ya yule ngombe dume na kunyunyiza kwa kidole chake upande wa mashariki juu ya kiti cha rehema kisha atainyunyizia mbele ya Sanduku la Agano mara saba kwa kidole chake. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |