Walawi 14:51 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200251 Atatwaa kipande cha mwerezi, tawi la hisopo na ile sufu nyekundu pamoja na yule ndege mwingine anayekuwa muzima na kuvitumbukiza vyote katika damu ya yule ndege aliyechinjwa. Kisha atanyunyizia nyumba hiyo damu mara saba. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |