Walawi 13:57 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200257 Kisha, ikiwa hiyo alama inaonekana tena kisha katika nguo iliyofumwa au iliyosokotwa au katika kitu chochote cha ngozi, basi ukoma umeenea. Kwa hiyo nguo ile utaichoma kwa moto. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |