Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Walawi 13:51 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

51 Siku ya saba ataangalia taka lile. Ikiwa taka lile limeenea katika nguo hiyo, ikuwe ni ya kufuma au kusokotwa au ya ngozi au ya ngozi ya aina yoyote, nguo ile ina ukoma. Hivyo nguo ile ni chafu.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Walawi 13:51
5 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

nguo ile ikuwe imefumwa au imesokotwa kwa kitani au sufu au ni nguo ya ngozi ya aina yoyote,


Kuhani ataangalia taka lile na kuweka nguo ile kando kwa muda wa siku saba.


Kuhani atachoma kwa moto nguo ile maana ina namna ya ukoma wenye kuenea.


Siku ya saba kuhani atarudi na kuangalia tena nyumba hiyo. Ikiwa taka lile limeenea katika kuta za nyumba hiyo,


inapasa kuhani akuje kuichunguza. Ikiwa taka limeenea katika nyumba hiyo, basi huo ni ukoma wenye kuteketeza, nyumba hiyo ni chafu.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ