Walawi 13:43 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
43 Kuhani atamwangalia. Ikiwa kuhani ataona kwamba hicho kivimba ni chekundu-cheupe kwenye upaa au kwenye paji lake na unaonekana kama ukoma kwenye ngozi yake,
Makuhani wao wanavunja sheria zangu, na kukufuru vyombo vyangu vitakatifu. Hawapambanui kati ya vitu vitakatifu na vitu visivyokuwa vitakatifu, wala hawafundishi watu tofauti kati ya mambo yanayokuwa machafu na yanayokuwa safi. Wameacha kuzishika Sabato zangu, na kunizaraulisha kati yao.
Lakini kama kwenye kichwa penye upaa au kwenye paji la uso kwenye upaa kuna alama nyekundu-nyeupe, huo ni ukoma unaotokea kwenye upaa wake juu ya kichwa au kwenye paji lake.