41 Ikiwa upaa huo umetanda tangu nyuma mpaka mbele mutu yule ana upaa tu na yuko safi.
Kama mwanaume amepata upaa, yeye ni safi maana ana upaa tu.
Lakini kama kwenye kichwa penye upaa au kwenye paji la uso kwenye upaa kuna alama nyekundu-nyeupe, huo ni ukoma unaotokea kwenye upaa wake juu ya kichwa au kwenye paji lake.