Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Walawi 13:19 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

19 lakini pahali pale jipu lilipokuwa pamegeuka kuwa kivimba cheupe au kuwa pekundu lakini peupe, anapaswa kumwonyesha kuhani.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Walawi 13:19
6 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Kama mutu ameshikwa na jipu, nalo limepona,


Kuhani atamwangalia yule mutu. Kuhani akiona pamekuwa shimo na nywele za pahali pale zimegeuka kuwa nyeupe, basi, kuhani atamutangaza mutu yule kuwa muchafu. Huo ni ugonjwa wa ukoma ambao umetokana na jipu.


Au, ikiwa kuna pahali palipoungua na ile nyama mbichi imegeuka kuwa nyekundu-nyeupe au ni nyeupe,


Lakini kama kwenye kichwa penye upaa au kwenye paji la uso kwenye upaa kuna alama nyekundu-nyeupe, huo ni ukoma unaotokea kwenye upaa wake juu ya kichwa au kwenye paji lake.


Kuhani atamwangalia. Ikiwa kuhani ataona kwamba hicho kivimba ni chekundu-cheupe kwenye upaa au kwenye paji lake na unaonekana kama ukoma kwenye ngozi yake,


Atachunguza taka lile. Kama taka lile limeonekana juu ya ukuta na limesababisha madoa ya rangi ya kijani kibichi au nyekundu na kuonekana kuwa yamepenya ndani ya kuta,


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ