Walawi 11:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200210 Lakini chochote kinachoishi katika bahari au ndani ya mito, ambacho hakina mapezi wala magamba, maana viumbe vyote vinavyotembea ndani ya maji na viumbe vingine vyote vinavyoishi ndani ya maji ni vichafu kwenu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |