Walawi 10:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20024 Basi, Musa akawaita Misaeli na Elisafani, wana wa Uzieli, baba mudogo wa Haruni, akawaambia wakuje kuondoa maiti za wandugu zao kutoka Pahali Patakatifu na kuzipeleka inje ya kambi. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |