Walawi 1:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Hao makuhani wazao wa Haruni watazipanga kuni juu ya mazabahu na kuwasha moto. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Haruni na wazao wake ndio waliokuwa wakitoa sadaka juu ya mazabahu ya sadaka za kuteketezwa kwa moto na vilevile juu ya mazabahu ya kufukizia ubani. Walifanya kazi zote zilizoelekea Pahali Patakatifu Sana kwa kuifanyia Israeli upatanisho. Haya yote waliyafanya kulingana na maagizo Musa, mutumishi wa Mungu aliyotoa.